“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Tuesday, June 15, 2010
X rays were discovered by accident
Ni msaada ambao unatupa uono kwa vitu ambavyo macho yanashindwa kuona hata tone,ila mwanzo wake aikuwa kusudio la mgunduzi bwana Wilhelm Roentgen akiwa katika majaribio yake yakuunda vitu vingine kwa ajari akajikuta unaunda msaada kwa jamii ya PAST,PRESENT NA FUTURE.
MWANZO ikaanza kutumika kwa kuangalia risasi zilizobaki katika mwili wa wanajeshi,mwisho zikaanza kuchunguzia maradhi kwa binadamu.ila nikitu ambacho kinamadhara nandio maana madaktari wanashauliwa kuituimia ikiwa akuna njia nyingine .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment