Tuesday, June 15, 2010

one of the greatest philosophers who ever lived



one of the greatest philosophers who ever lived
HAKUWAI kusema alichosikia ila alisema anachojua, napia He didn’t use guesswork or accept whatever people already believed huyo ndio ARISTOTLE ,So kama wasomi inabidi ifikie kipindi tugundue kwamba matukio yaliyopita ndo madarasa tosha kwetu,kunavitu huwezi fundisha darasani,so chukua muda wako wa kusoma vitu zaidi ya masomo yako ili uweze kuwa msomo anayeweza kujenga hoja,kuitetea hata kuzipinga za wengine,maneno kama haya yalishapatwa kuongewa na DR HAULE(DEAN WA KITIVO CHA SHERIA RUCO). Pia kwanamna moja au nyingine yalishawai kuongelewa na ZITTO KABWE alivyosema ‘doubt anything’ sasa msomi utadistrut vipi kama hujui kitu na nimsomi mbumbumbu.JIPANGE

No comments:

Post a Comment