“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Tuesday, June 15, 2010
A day on Mars is just a bit longer than a day on Earth
Itafika wakati watu wataanzisha makazi katika Mars na inawezekana pia ukawa miongoni mwawaanzilishi,kwasababu inaaminika kuwa hakuna bahari wala chanzo chochote cha maji ndo maana imekua ngumu kwa watu kuishi lakini bado wanasayansi wanajisadikisha kunauwezekano mkubwa kwamba chini ya ardhi kutakuwa na maji. The ancient Romans named Mars after their god of war because it was the color of blood. Kwavitu vingi ilitaka kuwa kama dunia.nabado wanasayansi wanaamini kulishawai kuwa na maziwa na mito kwadalili wanazoziona ila kunauwezekano mkubwa kulishawai kubwa na mafuriko that s why Mars is very dry today mpaka sasa scientists have not found anything alive on Mars. They think that the surface of Mars is too cold and poisonous for life…………………………
.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment