“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Friday, June 4, 2010
Don’t worry and be happy..
Sometime life move negative and opposite from our plan, its very hard to move on coz everything you tried end of the day you still in the same position.
I want you to remember God love us equal coz kama unataka kuwaza kitu jaribu kuwaza hivi ‘ni wangapi muda huu wapo muhimbili wanakatikiwa na pumzi lakini wewe bado upo poa mpaka mda huu unasoma haya ’ things will get better soon.
Belive in yourself nafanya kila uwezalo kwasababu akuna mtu ataekuja kufanya kwa niaba yako.you know brother don’t depend happiness from other people even your family sometime,sometime najua unajuta kwanini ulizaliwa unapofikilia maisha yako ndani ya taswira ya maisha ya watu wengine,
Unatakiwa kuwaza about tomorrow not only today and I need you to understand that God gift us defferent.
My conclusion ni kwamba as ordinary person unabidi kupokea furaha sawa na uzuni kwakuamini tu taabu na raaha zipo duniani ,kwaajiri ya mimi na wewe brothers and sisters.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment