Friday, June 4, 2010

Bongo fleva ni mziki wa watu wenye ubongo mwepesi


Every now and then ‘napopataga’ mda wa ziada napenda kujiuliza maswali mengi moja wapo ni kwanini kuna vita kati ya BONGO FLEVA na HIP-HOP hapa Bongo? ,kwanini wasanii wakatae identity yao na radha ya kwao I mean bongo?
Kwa mfano mchini DAR kulivumaga tetesi kwamba kuna kundi la HIPITI HIPAP linye maskani Arusha limetengeneza nyimbo inayosema DEATH OF BONGO-FLEVA ,mimi navyoamini wao mpaka kusema hivyo wanakubali kuwa wanaishi BONGO kama utatanua maana kwamba Bongo sio dart u bali ni Tanzania kwaiyo radha ya mziki wao ni bongo lakini hawakubali kama wao wanafanya bongo fleva,kwanini?am hip hop lengendary kama NAS by nikki wa pili or its modern hip-hop alisema F.A
Kuna makundi mengi ya mziki wa kufokafoka wanojiita wanaharakati wakipanga dhahiri na kujitofautisha na mziki ambao wao wanauita mzika wa kucheza cheza
“ hata kwenye beat ya kapuko ntapiga michano ya hip-hop ” na maandishi ya hamisi mwinjuma pia Adili nkwela alipata kuandika hivi “hip-hop kwangu daima bongo fleva acha kupima” .hata mapacha walisema ” naithamini hardcore rap(hip hop) ndo inaniweka mjini,inanifanya nimake ajabu huwezi amini,leo nafanya commercial(bongo fleva)…….nahii ni kwaleo tu,kesho naipiga chini”….kuna dogo anaitwa ROHOSABA anasema “bila hip hop bongo fleva ingeanzia wapi?.....hip hop ndo mziki” .Mteule mmoja alisema mawazo yangu ni mkombozi wa kweli,siafiki kama kamongo (hip-hop) auzi kweli kama pelege (bongo-fleva)..MABOVU aliimba “nilipoanza hip-hop dingi alilalamika,akujua kama baadae italipa”
Mtengwa mmoja alipata kujinadi katika song la G.NAKO kwamba hip-hop imeokoa maisha yake kama ‘BASTA’ swali kwanini asiseme bongo fleva?,kuna ngoma ya kikosi inaitwa ‘Bongo fleva ukisanda utaacha gemu’ , kuna ngoma ya langa kileo inasema “hakuna mziki unaonigusa kiakiri zaidi ya hih hop……ni mziki wa ukweli na uwazi eti kuku kapanda baskeli wewe aikushangazii”.bongo fleva na hip-hop ni ipi ipo juu ,aliuliza made katika hip hop ailipi,nakuna song linaitwa mungu ndo anajua “mapacha tupo mbele kama guard ya hip hop,ila nasikitika kuwa album sikuuza”.
Kuna Mc alirap kwa kusema ‘KAMA HIP-HOP ISINGESIMAMA HATA MAPACHA MSINGEWAONA’ swali kwanini awasemi bongo fleva.kama aitoshi Pina katika asiekubali kushindwa alisema ..hip hop ni utamaduni nawakilisha asiri…………mwanangu ramar wasioelewa hip hop wananichukia sana ujue wananichukia kwanini? Kwasababu nasema ukeli,ukeli ambao wao hawawezi kuusema
“ni ujio wa hip-hop ujio wenye mahalifa ,nipo na hami-b nawala sio na p---naelimisha jamii unasifia vimwana,kasha unataka beef kivipi tutashindani,itikadi zetu ni tofauti..” ni mistari ya Mansuri,”there is nothing like hip-hop music, you like because you choose it haya nimaneno ya Langa,”nabii akubaliki kwao ila akienda kikali kwa wazulu natali,injiri wanaikubali…mintasimama kwenye hip hop tu iliwapate ukeli ”by mapacha katika yote heli napia katika pesa walisema RAMA D anafaamu mimi na hip hop ni damu,sifanyi sababu ya pesa….”.hip-hop raisi wa geto,raisi wa mitaa by Langa
Jibu kwanini kila mwenye akiri ataki kuutwa bongo fleva mimi nadhani kwasababu bongo fleva ni aina ya mziki ambao yeyote anaweza kuimba kwasababu auitaji degree I mean unaitaji fani tu ila sio maudhui..

No comments:

Post a Comment