“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Tuesday, June 15, 2010
“In spite of everything, I still believe that people are really good at heart.”
Hayo ni maneno ya binti mdogo aitwae ANNE FRANK mwenye asili ya kiislaeli ambaye aliteseka katika mikono ya HITLA katika sera za NAZ, alifariki akiwa mdogo miaka 15 lakini aliacha diary ambayo aliojaa maneno ya busara na upendo,ikiwemo hiki kichwa cha habari hapo juu.diry yake imekua chachu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa langi duniani kote. Hii inamaanisha MAWAZO yako yanaweza kuwa yamsingi, sauti yako ikawa ya muhimu,ikawapa hope waliovunjika moyo hata kama wewe bado mdogo.YOU NEED TO SPEAK OUT.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment