Tuesday, June 15, 2010

Hivi unajua Shakespeare alimfanya AKON aimbe



Hakuwa kuishi muandishi alienukuliwa zaidi kama William Shakespeare,alizaliwa 1564 ENGLAND ,alipata kuoa akiwa na umri wa miaka kumi na nane tu,na akabahatika kupata watoto wa tatu,SUSANNA, HAMNET na JUDITH.
Ni miongono mwa magreat thinker na alipitisha thought zake kupitia literature, He even invented many words and phrases that are now common, including leapfrog, lonely, and watchdog. Baadhi ya hayo maneno yakatumiwa na wasanii kama AKON ila mwanzo na chanzo ni William.
Alipata kuandika tamthilia kama vile A Midsummer Night’s Dream, Much Ado About Nothing, and As You Like It. Ila zilizo mtoa ni kama vile Hamlet, Romeo and Juliet, Othello, King Lear, and Macbeth.
Kwasasa najua utakua unajua nijinsi gani watu wazamani waliishi sana na wakafanya mambo makubwa sana

No comments:

Post a Comment