Wanasheria wasomi wa St.Augustine hoi kwa tai,koti na uzito wa suti……….
Katika mashindano ya mahakama ya mfano wasomi washiriki kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Augustine walitoa kali ya mwaka kwa kugomea shindano eti kwa sababu wanaisi watashindwa.
Siku yakwanza ilikua Ruco akiwa appellant na Saut wakiwa defendant mambo yalianzia hapo pale mshiriki mmoja wa Saut ‘alipokataa’ kuzungumza kwa kigezo kuwa wenyewe wanajua mashindano yote ywaga wanazungumza watu wawili na mmoja anakua researcher ila ukweli acha uitwe ukweli kwasababu roles zilikuwa wazi kuwa unatakiwa kuleta washiriki watatu na wote wataongea,mpaka kuja inaharisisha umeelewa na kukubali vigezo na masharti ya shindano,kwakusema tumezoea malanyingi wawili ndio wanaongea nataka kuwakumbusha kuwa malanyingi sio malazote.
Baada ya mashindano waomba kwamba wale waliokua wakikaa kusikiliza kesi awawataki ,waandaaji wakawasikiliza na kuwatafutia mahakimu kutoka mahakama ya wilaya,
Siku mbili kabla ya fainali vikalushwa vikalatasi kati ya mabingwa wawili yaani Saut na Ruco kwamba yupi atakuwa appellant na timu ipi iatakua defendant,kawaida ni kama sheria katika jamii ya wasomi waliostaarabika wenyeji wakamuacha mgeni awe wa kwanza kuokota karatasi na wenyewe wakawa wamwisho.siku moja kabla ya fainali na LORDSHIP AUGUSTINE RAMADHANI na majaji wengine kuwasili ,Saut wakatoa taarifa ya kujitoa kwasababu awazani kama watashinda kama wataendelea na upande waliouokota,na kweli wakajitoa
Ikabidi waadaaji wawaombe washindi watatu Tumaini washiliki fainali kwasababu wageni walikuwa washafika kwa ajiri ya fainali.
Kama aitoshi siku yakupokea vyeti mmoja wa washiriki alipopokea vyeti akaandkika manono ambayo kwa waandaaji washindano akiwepo makamo Raisi aliyatafsiri kama matusi kwa waandaaji.
Tujiulize kama wasommi hivi mtu aliyetoka katika chuo cha kidini anawezaje kufanya utovu wa nidhamu kwa kiasi kisichovumilika,mtu unawezaje kupuuzia gharama zawatu waliondaa na chuo chako kukulipia nauli na malazi,kama wasomi inabidi tubadilike na tutathimi gharama za ujinga watu kwa kuangalia nature,quality and consequence ya matendo yetu……………………………………………………..wasomi maututi hoi bin taabani kwauzito wa suti,sijui walichukuliwa adhabu gani au wenyemidomo wamefungwa midomo kwa utetezi wa upande mmoja,ata kama wanaona ila awawezi kuzungumza kwasababu midomo ishashonwa kwa nyuzi ya koti
No comments:
Post a Comment