Thursday, June 10, 2010

Ukonga United….a.k.a COSSOVO F.C chama lililomtoa SHABANI KADO


Ni timu kongewe yenyemaskani yake UKONGA MADAFU ilianzishwa mwaka 1996 na imefanikiwa kutoa makipa wake mpaka kuchezea SUPER LIGI ,mfano kipa matata kwa sasa wa timu ya taifa KADO,na mwingine GODWIN ambaye anachezea ligi kuu Zanzibar,beki wa kushoto MUSA PANDU(ZANZIBER),MUSTAFA TALL (yanga f.c B), MLEKWA SAID (TEGATA HIGH SCHOOL).mwanzo mzuri japo umechukua mda kuonekana.GOD BLESS COSSOVO FOOTBAL CLUB

No comments:

Post a Comment