“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Tuesday, June 15, 2010
Dreaming is not like thinking about things.
UNAWEZA UKAJIISI FURAHA,TABU even mateso.unapata uwezo wa kusikia na kuona kitu nitofauti na kuwaza jambo. Watu kutokea Misri katika zama za zamani walipata kuamini ndoto uongelelea mambo yajayo ambayo yatapata kutokea, Some psychologists think that dreams show what people feel deep inside.tofauti kati ya hao na wanasayansi ni hii,wanasayansi hawaamini ndoto kama nikitu chenye maana ila wanasema ndoto zipo kwakumbukumbu tu nakuonyesha ubongo wako unawezaje kukumbuka mambo,WEWE YNASEMAJE MZEIYAAA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment