“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Tuesday, June 15, 2010
MALegendary KUMI WALIOPATA KUTOKEA DUNIANI
1.MICHAEL JORDAN
Unaweza ukaluhusiwa kusema ni basketball player mfano wake aujawai kutokea baada na kabla ukawa aujapoteza maana.jina lake la utani ni ‘AIR JORDAN’ alazaliwa feb 17,1963,in Brooklying,New York.
2.MUHAMMAD ALI
Nimwanandundi aliepata kutesa karne ya 20 kwa majina yake asilia ni Cassius Marcellus Clay,Jr.mwaka 1960 alijishindia medali ya dhahabu katika olompiki,miaka mi4 baadae akawini taji la heavyweight.amestaafu mwaka 1981 akiwa ameshinda mashindano 56 na kushindwa 5.
3. Diego Maradona,
Jamaa alikuwa born in 1960, Argentine soccer player, who led Argentina to a World Cup title in 1986.kwasasa nikocha wa timu ya taifa ya Argentina. Alisifika kwa goli la mkono na alipata kuliongelea hivi “The goal was scored a little bit by the hand of God and a little bit by the head of Maradona.
4.pele
Kwamajina ya kiukweli ni Edson Arantes do Nascimento,alianza kucheza kama professional akiwa na miaka 16,alipata kufunga magolo elfu moja na idadi ilitimia MARACCANA.
6.TIGER WOODS
Ni mcheza golf ambaye akupata kutokea, kwamajina Eldrick Woods was born on December 30, 1975, in Cypress, California,
7.BARRY BOND
Mcheza Baseball ambaye aliwai kung’aa na kuwika hapa duniani,alipata kutunikiwa tunzo za heshima za MVP mara saba ambazo utolewa kwa mwaka malamoja kwa mchezaji bora,na hakuwai kutokea mchezaji mwingine kuchukua zaidi ya mara3.
8.LENCE ARMSTRONG
Ni muendesha baskeli wa kwaza kuendesha baskeli katika levo za kimataifa,
9. Michael Jackson,
born in 1958,ni American singer, dancer, and songwriter kwa wakati wake mpaka sasa anabaki kuwa mfalme wa Pop ambaye akupata kutokea
10. ERIC CANTONA, French soccer star na alipata kuifanyia makubwa club yake na anakumbukwa kuliko mchezaji yeyote Manchester
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment