“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Friday, June 4, 2010
WAHENGA WA ARSENAL WALIKUFA,WAKAWAACHA WATOII WAO,NA HAWAKUITWA WAENGA….
Ni ukweli ambao auitaji mboni kali sana kuweza kuuona kwamba chini ya Henry, Viera, na wakwengwe wengine walopata kukilemba kikosi kazi cha Arsenal kipindi timu ilipopata kuwa timu bora kama sio kama tishio mbele ya mtu kama T.Adams, denis B,I. wright,….HAWA NDIO WAHENGA.
Kipindi kile nakikumbuka huwezi pita katika miji mikubwa bila kupishana na mtu kava jezi ya JVC au kukutana na mtu kava ‘uzi nambari kumi na nne kwa mgongo’……..always when you talk about history, you must understand your talking about written document ambazo azibind wakati zaidi ya kuifadhiwa katika library.
Malegendary, macelebrated na mafamouss wa kisokacha washika bunduki walishakufa katikati ya vita hii sio kwa arsenal tu katika timu nyingi za za ‘europa’ ila kwa kawaida ya nature of the world and its rule pale mwanajeshi mzuri kama Henry anapokufa inapaswa mwanajeshi mzuri mwingine azaliwe………….kuzipa pengo
Mfano Cantona ‘alipokufa’ kijana ‘David’ akazaliwa kwenye winga tukufu ya mashetani wekundu,Rud Van ‘alipokufa’ Ronaldo akazaliwa pia nayeye alipokufa WYNE ROONEY akazaliwa…..kwamantiki hii wahenga wa Man U walipokufa kuna wahenga wapya wakazaliwa na maisha yakaendelea ile ile
Wakina Zola ‘walipokufa’ wakaacha wakina Terry wakina Drogba wakina Anelka hawa nao wakaitwa wahenga vilevile kwa mambo wanayowafanya ndani ya uwanja kama yaleyale walofanya wakongwe.
Ila kwa washika bunduki wahenga kwao walikufa wakaacha watoto wao na hao watoto wao hawakuitwa wahenga hata siku mmoja kwa sababu walishindwa kufanya maajabu kwa kiwango sawa na wale walopita………………………………………………
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment