The firstly problem of one of the J.K ni kwamba yeye mwenyewe ajiamini kama bila misaada kutoka magharibi,he can to manage his peoples.
As we know capitalist always wapo kupata faida tu,in two sense ya kwanza wapo ili waweze chukua maliasiri zetu and sense ya pili ni wapo ili watuuzie siraha zao.
Ila J.K aliekua akiongea na babu alipinga sana ubeberu na ‘uchukuzi’ kwa style ya uwekezaji……namkumbuka mwalimu wangu wa Kiswahili moja ,siku moja alitufundisha tofauti kati ya uwekezaji na uchukuaji.sasa najiuliza kinachotokea hapa kwetu ni kipi?
J.K ORIGINAL alisemaga hivi… Africa must refuse to be humiliated, exploited, and pushed around. And with the same determination we must refuse to humiliate, exploit or push others around
ORIGINAL alipinga umimi ambao REMIX aukanyi ‘Those who receive this privilege of education have a duty to return the sacrifice which others have made. They are like the man who has been given all the food…in order that he might have the strength to bring supplies back…If he takes this food and does not bring…he is a traitor.’’
ORIGINAL alitoa uhuru ambao leo wakina TUCTA wanaulilia “The right of a man to stand upright as a human being in his own country comes before questions of the kind of society he will create once he has that right.”
HHHAAAAAAAAAAA J’.K unamkumbuka J.K aliyemchapa waziri viboka kwa ‘uzembe’ sasa utamfananisha vipi na J.K aliemfukuza kiongozi aliyeamuru walimu wazembe wachapwe.nanapokwambia J.K wa babu sio mzembe kwa sababu aliupinga uzembe,utabisha ivi kiongozi wa juu alichapwa aikuwa makosa lakini kuchapwa kwa walimu imekua kosa….
J.K alieshinda vita dhidi ya Iddi Amini sio J.K alieshindwa vita dhidi ya ma malaria,wakati J.K wa babu alipgana na maradhi yote kwa wakati mmoja,plus ujinga(ambao huyu anaupanda kupitia shule za kata) na umaskini…..na akashinda
J.K alistaili kusema elimu ni uti wa mgongo kwa kipindi na umri wake alikua akikua katika feudalism ,hivi advance J.K alipaswa kuturudisha huko katika sera za kilimo kwanza katika dunia ya viwanda?kwanini isingekua Elimu ya juu kwanza.
J.K alieanzisha vyuo vya mabwana shamba na watendaji ambao makazi yao ni maeneo ya tukio sio ofisini kwa kugawa institutions,college na university kwa mazumuni wengine wapate degree,wengine masta,wengine advance diploma na wengine CPA lakini J.K aneyeruhusu kila taasisi ya elimu ya juu kuwa chuo kikuu na utoa degree.
J.K aliekua awatukuzi wageni wanaopenda kuabudiwa pia aliesafiri inapobidi kwa shuguli za kiofisi zaidi kama kufwata uhuru,ila J.K huyu anaenda piga picha na watu maarufu.mmoja alitafuta umaarufu wa nchi na mwingine umaarufu wake.yeye akifanya ivyo T.I.D afanye nini?
.wewe unasemaje juu ya j.k wa zama za giza na j.k wa kizazi kipya ???????
No comments:
Post a Comment