katika first inter-university moot court competition,ruaha university college wameibuka na ushindi mnene nyuma ya TUMAINI UNIVERSITY wakati chuo kikuu cha mtakatifu Augustine cha Mwanza kikiwa kinashika mkia.........vyuo vingine ambavyo vilitegemewa kuwepo ni Mzumbe ambao walijitoa dakika za mwisho pia MLIMANI ambao awakujibu ata barua pia vyuo vikuu vya Zanzibar navyo avikutokea....chuo kikuu cha Tumaini tawi la Iringa lilitoa mzingimzaji bora na katika kukamilisha judgment yake LORDSHIP C.J AUGUSTINE RAMADHANI akamtangaza kuwa MR BARUTI ndio anamfikia na kumkaribia mshindi wa kwanza, kwa kumbukumbu Baruti alishawai kuwa mshindi namba moja mashindano yaliyopata.............kwa baruti mwenyewe anaona kama yeye ni mapango wa mungu kwa baadae kwa sababu akuwai kufikilia kusoma law.washiriki wengine walofanya vizuri ukimuacha mshindi FRANCIS MAGARI ,wengine ni MWAMBENE alionekana akiwa na jazba mda wote pia NOEL ambaye alinukuu page za kitabu na kuwaacha watu wote wakivunja sheria za mahakama kutokucheka.
“If every day in the life of a school could be the last day but one, there would be little fault to find with it”BY Stephen Leacock.INGAWA SOMETIME ……………..............I MISS SCHOOL and old-new FRIENDS,siwezi kuwakutanisha tena isipokua hapa hapa
Saturday, May 29, 2010
RUAHA UNIVERSITY MOOT COURT WINNER
katika first inter-university moot court competition,ruaha university college wameibuka na ushindi mnene nyuma ya TUMAINI UNIVERSITY wakati chuo kikuu cha mtakatifu Augustine cha Mwanza kikiwa kinashika mkia.........vyuo vingine ambavyo vilitegemewa kuwepo ni Mzumbe ambao walijitoa dakika za mwisho pia MLIMANI ambao awakujibu ata barua pia vyuo vikuu vya Zanzibar navyo avikutokea....chuo kikuu cha Tumaini tawi la Iringa lilitoa mzingimzaji bora na katika kukamilisha judgment yake LORDSHIP C.J AUGUSTINE RAMADHANI akamtangaza kuwa MR BARUTI ndio anamfikia na kumkaribia mshindi wa kwanza, kwa kumbukumbu Baruti alishawai kuwa mshindi namba moja mashindano yaliyopata.............kwa baruti mwenyewe anaona kama yeye ni mapango wa mungu kwa baadae kwa sababu akuwai kufikilia kusoma law.washiriki wengine walofanya vizuri ukimuacha mshindi FRANCIS MAGARI ,wengine ni MWAMBENE alionekana akiwa na jazba mda wote pia NOEL ambaye alinukuu page za kitabu na kuwaacha watu wote wakivunja sheria za mahakama kutokucheka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment