Saturday, May 29, 2010

KONDOA IRANGI "SOURCE" PIA YA hip-hop


…………………hip hop ………….nguzo moja wapo ni michoro ya kwenye mawe au ya mapangonik,HIP-HOP ni mziki mkongwe sio wa kizazi kipya kama wasanii wenyewe wa TZ wanavyojinadi,na vita yao ya hip-hop na bongo fleva,mimi binafsi naipenda vita yao baridi ila kiukweli hip-hop sio bongo fleva kama watatafsiri kuwa nao ni mziki wa kizazi kipya coz waliofanya harakati wenyewe sio kizazi kipya ila kwa tafsiri hiyo,mimi nasema hip hop ni ngome kongwe pitia mchoro ya kondoa irangi 'zinja alichora machata' uatagundua kumbe huu utamaduni ni umeanza toka zamani sana, ila kama utautafsiri kuwa kwasababu unawakilishwa kwa kiswahili na kuwakilisha matatizo ya mswahili na siasa zao kupitia radha za asiri za kiswahili ndio maana tunauita bongo fleva nitakubaliana nawe na mimi,HIP-HOP ni BONGO FLEVA KI MAANA na UTAMADUNI KI DHAANA…………….nakumbuka ilikuwa ni moja ya weapons iliyotumiwa katika ukombozi wa kumkomboa mtu wa chini kule NEW WORLD pia “SIUNAJUA KUNA MICHORO BONGO ILIPATIKANA ZAMA ZA ZAMANI KULE KONDOA IRANGI”………………HIP –HOP NI UTAMADUNI UNAOWAKILISHA HISIA ZA MTU MWEUSI NDO MAANA NASEMA HIP –HOP NI UNIVERSAL INAMGUSA YEYOTE AWE YUPO AMERICA ,ASIA ,na RAP ni moja ya nguzo naweza kusema 'rap sio hip-hop lakini hip-hop inaundwa na hip-hop,kama moja ya nguzo ukuacha break-dance, graffit, dj, Mc,freestyle na ata ndonga au battle ......bip wanaharakati wa ukweli na mnukuu mtengwa mmoja alisema "hashimu dogo kasema tu-represent machizi wa mtaa,wenye matatizo na shida zao, yatakuja kimpango wake mafao" kwaiyo ilo ni jibu kwa anaejiuliza kama hip-hop inalipa au ailipi?,ni sawa na kusema dini inalipa au ailipi? utamaduni na elimu utolewa bule katika dhana ya kurudisha karama uliyopewa kwa mungu kwa kuokoa watoto wa mtaa na kuwapa nafasi ya kurudi shuleni kupitia mziki,na maanisha unaweza ukauza then watoto wanaokuja aliwepo na mdogo wako akafaidi anasa tu...i love hip-hop …. By mlisi idd

No comments:

Post a Comment