Sunday, May 30, 2010

kweli JAKAYA NDIVYO ulivyomaanisha?

KILIMO KWANZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Vijana wengi wa vyuo vikuu wameamua kuzalisha maana chomozi katika sera ya kilimo kwanza,
Nakuanza kutafsiri wanavyojua wao wakimaanisha kuwa “kumikasika kwanza” then issue nyingine baadae…ni maana ambayo inawafanya waelewe wenyewe tu na kuwatenga watu ambao wapo vyuoni lakini wao na umri sio marafiki tena ,mtaani tunawaita madingi,babu,au wamekula chumvi nyingi wakizani vijana wanampromoti mueshimiwa lakini waaaaaaaaapi vijana wanawaza “kua God national assembly” ili waweze kuirepeal ikiwezekana kuiamend…S.6 of 10 god commandment act(hereinafter referred as goca)…………………..kwaiyo mwana kilimo kwanzzzzzzzzzzaaaaaaaaaaa.

No comments:

Post a Comment