Mtoto wa advocate KAYAGA ang’aa katika Inter-universities singing competition
Three university compete katika kumtafuta mkali wa rhythms wa vyuo vikuu vinavyopatikana maeneo ya Iringa, kwaiyo vyuo vilivyousika ni MKWAWA, TUMAINI na RUAHA.
Ulikua mchakato mkali sana na ulojawa na ushindani mkubwa .lakini mwisho wa siku mwanadada pekee aliibuka kidedea kutoka Ruaha University College.
Lakini bado zilipigwa yowe kubwa kutoka kutoka kwa mashabiki wakipinga matokeo ya majaji na wakitaka KELV kuwa ndo mshindi wa mistari kwa vyuo vikuu
Ila nilipojaribu kuongea na kelv alisema kuwa yeye binafsi analitaraji na alikua akiwish K-MASSIVE ndio angetawazwa kuwa bingwa “üjue dogo ni mkali sana na anastaili kuwa mshindi, mimi sikuamini kwanza nilipotajwa,ila Massive ni noma,bora ata wangeninyima mimi……..”.
My opinion is that the person anaeandaa wakati mwingine inabidi awe makini,mimi binafsi siwezi kulizishwa na maamuzi tata ,kwa mtazamo wangu yalijaa u-jinsia sana.SIPENDI ….NIMESHAELEWEKA……..SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIII
No comments:
Post a Comment