BIFFF YA SQUZAA na MABOVU imekwisha kwa macho ya NEY.
Ile bifffffffffffffffff ya mda mrefu kati ya squiza na Mabovu ilodumu kwa muda mrefu bila ata ya kupeana salamu pale wanapokutana katika uwanja wao wa nyumbani,
sasa inaaminika imekwisha baada washkaji kukutanishwa na Dj Edo na kuwapeleka kwa kaka mkubwa Amba na kuwatengenezea ngoma kali yenye michano ya Reggae kwakutumia beat na kibwagizo cha Bob katika tinga lake la ONE LOVE.
Ili ‘fujo’ isiweze kutokea akamchukua mwili nyumba Ney kuakikisha usalama upo.wakafanya ngoma inaitwa ONE love na verse ya kati wakamficharing mzee wa mitego.
Ngoma sasa ipo mtaani na kiukweli washkaji wamepana na wanachapa kazi pamoja.
No comments:
Post a Comment