Lionel messi ni mwanasoka bora kwa karne hii kwa mujibu wa DIEGO MARADONA kwa mtazamo huu atakua anapingana moja kwa moja na PELE ambaye anaonekana kuwa ‘ampi fagio’ nah ii sio mara ya kwanza kwa mtu anaemtishia historia yake…..anatamani atukuzwe yeye milele
Kiukweli kama tungekuwa tunaishi na tunafwata historia mpaka leo mimi ningekua mtumwa.
Kwaiyo Pale inabidi akubaliane na zama na mfamle wake ,kwamaneno ya Maradona “ messi leo yuko katika ngazi ya juu,ni bora kabasa duniani na ni nyota mkubwa……”
Mimi nafikiri Pele akutakiwa kumpinga sasa hivi kwa sababu anadai mpaka mtu afikishe magori elfu moja ‘mpaka ya mchangani’ ndio amfikie lakini anashindwa kuangaria umri wa Messi kwa sasa, Maradona alipata kunena haya “ …mwisho wa kipindi chake mwisho wa kucheza soka,tutaona nani ndiye mwanasoka bora kuliko wote waliopata kutokea duniani” kwa maneno haya ya busara kutoka kwa ‘mteja’ yalipaswa kumrudisha mkali wa ‘MARACANA’ shule ya soka tena
Na mteja akaconclude kwa kusema ‘ Mesi kwa sasa yuko katika njia sahihi ya kuelekea kuwa mwanasoka bora kati ya wote waliopata kutokea Duniani’
Hii sio ‘good newz’ kwa Pele kwa sababu akuwai ata kumkubari mtaifa mwenzake Ronaldo kama aitoshi ata mkongwe mwenzake Maradona,lakini mimi nipo poa sana kuona historia inafutika………………
No comments:
Post a Comment