Mtaa umekaa na kuzijadili ngoma zote za town ipi ilishawai kuweka msemo na ukatumika na kuanzia madingi, vijana, wakongwe mpaka watoto..wakasema ivi
1.Habari ndiyo hiyo…..ulitumika hadi bungeni
2.Bado nipo nipo kwanza………..kwakila kijana inawezekana alianza kuutumiaeffective after mshkaji kutoka.
3. Report za mtaani………pale unapomuuliza mtu habari hiyo kaipata wapi,anakujibu hizo ni report za mtaani
4. Shimo limetema……..vijana wavyuo vikuu likiingia boom itawasikia shimo lishatema.
5.siku hazigandi……..baada ya mtu kukosewa ndio msemo wake huo
6.nihayo tu…………….mtu akimaliza statement zake
7.mcharukoo………..salamu kwa vijana walika moja
8.fuuuuuuuuuuuuul……jibu la salamu
9.hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kalinye kalinye……….salamu ya machizi wanaopendana
10.wewe ndo mchizi wangu………………..
N.B watu wazamani walimake kushinda hawa mfano kula kona, mtani jirani, mzee wa busara, ndiyo mzee, jirani mtani, ngangari, mtulize,ubinadamu kazi, jirushe,kosa la marehemu
No comments:
Post a Comment