Ni ukweli ulokuwa wazi kuwa zamani vijana walikua wanachapa kazi na staili zao zilikua kali saaaaaaana mfano enzi za Julieta, sharifa na historia ya kweli ,mshkaji alikua anarap kinoma na akatoka pia…..kama vipi nini mchizi rudi kiduuuuuuuuchu kwa kutukumbusha zamani
T.I.D kipindi anafanya rap flani at first time namsikia katika track ya bongo record aliyogengeshwa na bongo records various artist chini ya juma kassim kiroto qibra alikua poua sana.kama vipi tukumbushe tu.
Juma nature mpaka vijana wanasema umefulia tatizo tu staili yako imepitwa na wakati rudi katika staili ya Sonia,jinsi kijana hata salio la verse….mimi kwangu ugali ndo album ya mwisho kwa juma.inspeta hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa mabadiliko hewa
Kuna watu umri na ‘vitambi’ vinawafanya wasiweze kufanya waliyoyafanya ujanani kwa wao ni ‘badiriko-mwili’ kwaiyo inakua sio kesi ya kujibu kwao mfano nigger jay aliefunga kazi 2000 nitofauti na proff jay anaendeleza mapambano,sikuizi yupo slow japo sio saana tofauti na kipindi cha chuzi limekubali mambo yiiii mambo waaaaaaa,nusu peponi nusu kuzimu au time 4 action………………………
N.B kuna style kama suti aziishi heshima mfano afande sele na huwa kama jeans azipitwi na fassion mfano mwana F.A ………………bro mzee wa vijimambo nimemis uandikaji wako wa mtindo wa story then mwisho mtu lazima aumize kichwa mfano vijimambo,wameiba pombe fanya tena ivyoooooooooooooooooo then tuone
No comments:
Post a Comment