Sunday, November 7, 2010

hawakujua kama huu wakati utafika





inafika 'pahala' inabidi watawala wakubaliane na hali kwamba raia wema na wananchi wa kawaida wamechoka na hizi mambo za 'tuwalete lete,tuwachanechane tuwatupe' .raia wameamka nakutaka mabadiliko yanayoonekana kwa macho sio ya takwimu,raia wanataka jaribu kubadilisha mfumo na kutoa 'element' za umimi,thanx god wanatumia lugha easy kueleweka bt itafika kipindi watatumia zile ambazo wanatumia sudani...sawa umeshinda kwa kishindo ila mbeleniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

hostel zimeota mbawa RUCO

KUTOKANA NA KUDAHILI WANAFUNZI WENGI KULIKO UWEZO WA CHUO ,WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WAMEJIKUTA KATIKA HALI NGUMU SANA KUTOKANA KUWA HOSTELI ZIMECHAKACHULIWA NA "WAHUNI" FLANI NI KUGAIWA KIUNI UNI OVYO OVYO....NA WATU WENGI KUISHIA MTAANI....ILA TUNASIHI CHUO HALI HII ISIJIRUDIE TENA

Monday, October 4, 2010

kelvin kayaga mkali wa mistari namba mbili wa vyuo vikuu anadai atarudi tena


akizunguza kwa njia ya simu na mlisiwa3.blogspot.com mkali huyo wa vyuo vikuu amesema yupo mkoani iringa kufanya maandalizi ya kurecird kwa mpishi amba pale AB RECORDS .itakua track ya tatu.god bless kelv klen

Sunday, October 3, 2010

huyu ndo khadija mkali wa kiswahili toka UDOM ktk POZI za mwezi mtukufu



alizaliwa miaka 22 iliyopita,kwa mchanganyo wa damu za kutanga,akabahatika kupata elimu ya secondary JANGWANI na advance MORO SEC,Mwisho wa siku akabobea katika fani ya KISWAHILI ktk chuo kikuu cha DODOMA,Akawa anapata hisia za kisheria kwa kupenda kuangalia show kama ya JUDGE PENNY ndo sababu ilofanya akakutana na mlisiwa3.blogspot.com.kitu anachopenda ni kuchat na kumake new friend,na hakuna mziki unaomgusa kama indian music,VITU VITATU ANAVYOJIVUNIA KWANZA NI KUZALWA MUISLAM,PILI KUZALIWA BINTI WA KITANGA NA TATU KUISHI KINONDONI KWA WAJANJA......mtafute katika facebook kama unataka friend nae kwa KHADIJA ABUBAKAR

Tuesday, June 15, 2010

BESTWISHES ALL MY BUDDIEZ AND HOMIES MLIOPO VYUONI






BESTWISHES madent wa RUCO a.k.a HOME OF GREATEST LAWYER, BESTWISHES UDOM ‘OXFORD YA AFRICA’ SHEERIFU,PATRIC MWANAHARAKATI,MWAKIBINGA,CHAZ,SAWALA,KISAMO ,BESTWISHES MZUMBE YA MBEYA I mean JUDDY,ARDHI kaka DURA,IFM bestwishes OLYMPIA PETER,PASCAL WILLIAM, MATAYO & VELONICA NZARI,CBE BESTWISHES TOMSON,saut all the best MWAKALUKWA JOY,ELLIOT,CAUSINE FROLA, TUMA,HENRY MIJINGA, BESTISHES MIPANGO my men MDOE & BETTY LANGA, RUAHA COMMUNITY DEVELOPMENT ALL THE BEST AWENA,BESTWISHES SUA,D.IT MY BOY MZEE WA SINZA,DUCE ALL THE BEST ANGELA NTIRA,LUSE,ANNAE BERNAD,UDSM BESTWISHES PRISCA MGESI,SIXBET,MUHIMBILI ALL THE BEST COSMASS...........................................NAWANANGU WA VYUO VINGINE AMBAO SIKUPATA KUWATAJA MY BOY TWAHA MUSTAPHA MWL NYERERE,TUMAINI MA MEN MOOD JOHN, JUMA LUSHOTO,JOY MILLIMO MPWAPWA,ALL THE BEST SHARIFA KACHIMA,USTAWI WA JAMII HELLEN, MY MEN ELLISHA SAMA G.PAP2 SAUTI,DEBO WA DUCE,KISAMO UDOM,JOY KILIMBA WA IAA,DIANA SAUT MTWARA,SIKUZANI GROBAL COLLEGE,..........NA WOTE NILIOWASAHAU MNAWEZA KUKIUKUMU KICHWA CHANGU KWA KUSAHAU LAKINI SIO MOYO WANGU KWASABABU UNAWAPENDA SANA NA KUWAJALI PIA...REALY SORRY

Namvisha taji la kombe la dunia MKATOLOKI WA VATCAN AMBAYE NI MROMA PURE




MIMI AS MLISI WA TATU MAPENZI YANGU YA SOKA YAPO ITALY KWA MIAKA MINGI SANA NA KIUKWELI NAWATAKIA MCHEZO MWEMA NA USHINDI PIA……TUTAKUTANA HAPA HAPA KUPONGEZANA JAMANI………

kama nitakuwa namapenzi na hili continent,mimi mghana ntakuwa tu




katika world cup ni better ni mshangilie mghana kama nitaweka uafrica but am not kind of person ambaye naweka ubaguzi wa langi mbele am goooooooooooooooooood lawyer nafwata HUMAN RIGHT kwaiyo mimi sio sio mcameroon,mnaijeria wala msouth,mimi nimpenda soks tu.nampila ni universal na its all speaking futballlllllllllllllllllllllllll ..

MALegendary KUMI WALIOPATA KUTOKEA DUNIANI







1.MICHAEL JORDAN
Unaweza ukaluhusiwa kusema ni basketball player mfano wake aujawai kutokea baada na kabla ukawa aujapoteza maana.jina lake la utani ni ‘AIR JORDAN’ alazaliwa feb 17,1963,in Brooklying,New York.
2.MUHAMMAD ALI
Nimwanandundi aliepata kutesa karne ya 20 kwa majina yake asilia ni Cassius Marcellus Clay,Jr.mwaka 1960 alijishindia medali ya dhahabu katika olompiki,miaka mi4 baadae akawini taji la heavyweight.amestaafu mwaka 1981 akiwa ameshinda mashindano 56 na kushindwa 5.
3. Diego Maradona,
Jamaa alikuwa born in 1960, Argentine soccer player, who led Argentina to a World Cup title in 1986.kwasasa nikocha wa timu ya taifa ya Argentina. Alisifika kwa goli la mkono na alipata kuliongelea hivi “The goal was scored a little bit by the hand of God and a little bit by the head of Maradona.
4.pele
Kwamajina ya kiukweli ni Edson Arantes do Nascimento,alianza kucheza kama professional akiwa na miaka 16,alipata kufunga magolo elfu moja na idadi ilitimia MARACCANA.

6.TIGER WOODS
Ni mcheza golf ambaye akupata kutokea, kwamajina Eldrick Woods was born on December 30, 1975, in Cypress, California,

7.BARRY BOND
Mcheza Baseball ambaye aliwai kung’aa na kuwika hapa duniani,alipata kutunikiwa tunzo za heshima za MVP mara saba ambazo utolewa kwa mwaka malamoja kwa mchezaji bora,na hakuwai kutokea mchezaji mwingine kuchukua zaidi ya mara3.
8.LENCE ARMSTRONG
Ni muendesha baskeli wa kwaza kuendesha baskeli katika levo za kimataifa,
9. Michael Jackson,
born in 1958,ni American singer, dancer, and songwriter kwa wakati wake mpaka sasa anabaki kuwa mfalme wa Pop ambaye akupata kutokea
10. ERIC CANTONA, French soccer star na alipata kuifanyia makubwa club yake na anakumbukwa kuliko mchezaji yeyote Manchester

Dreaming is not like thinking about things.







UNAWEZA UKAJIISI FURAHA,TABU even mateso.unapata uwezo wa kusikia na kuona kitu nitofauti na kuwaza jambo. Watu kutokea Misri katika zama za zamani walipata kuamini ndoto uongelelea mambo yajayo ambayo yatapata kutokea, Some psychologists think that dreams show what people feel deep inside.tofauti kati ya hao na wanasayansi ni hii,wanasayansi hawaamini ndoto kama nikitu chenye maana ila wanasema ndoto zipo kwakumbukumbu tu nakuonyesha ubongo wako unawezaje kukumbuka mambo,WEWE YNASEMAJE MZEIYAAA?

A day on Mars is just a bit longer than a day on Earth




Itafika wakati watu wataanzisha makazi katika Mars na inawezekana pia ukawa miongoni mwawaanzilishi,kwasababu inaaminika kuwa hakuna bahari wala chanzo chochote cha maji ndo maana imekua ngumu kwa watu kuishi lakini bado wanasayansi wanajisadikisha kunauwezekano mkubwa kwamba chini ya ardhi kutakuwa na maji. The ancient Romans named Mars after their god of war because it was the color of blood. Kwavitu vingi ilitaka kuwa kama dunia.nabado wanasayansi wanaamini kulishawai kuwa na maziwa na mito kwadalili wanazoziona ila kunauwezekano mkubwa kulishawai kubwa na mafuriko that s why Mars is very dry today mpaka sasa scientists have not found anything alive on Mars. They think that the surface of Mars is too cold and poisonous for life…………………………
.

X rays were discovered by accident




Ni msaada ambao unatupa uono kwa vitu ambavyo macho yanashindwa kuona hata tone,ila mwanzo wake aikuwa kusudio la mgunduzi bwana Wilhelm Roentgen akiwa katika majaribio yake yakuunda vitu vingine kwa ajari akajikuta unaunda msaada kwa jamii ya PAST,PRESENT NA FUTURE.
MWANZO ikaanza kutumika kwa kuangalia risasi zilizobaki katika mwili wa wanajeshi,mwisho zikaanza kuchunguzia maradhi kwa binadamu.ila nikitu ambacho kinamadhara nandio maana madaktari wanashauliwa kuituimia ikiwa akuna njia nyingine .

one of the greatest philosophers who ever lived



one of the greatest philosophers who ever lived
HAKUWAI kusema alichosikia ila alisema anachojua, napia He didn’t use guesswork or accept whatever people already believed huyo ndio ARISTOTLE ,So kama wasomi inabidi ifikie kipindi tugundue kwamba matukio yaliyopita ndo madarasa tosha kwetu,kunavitu huwezi fundisha darasani,so chukua muda wako wa kusoma vitu zaidi ya masomo yako ili uweze kuwa msomo anayeweza kujenga hoja,kuitetea hata kuzipinga za wengine,maneno kama haya yalishapatwa kuongewa na DR HAULE(DEAN WA KITIVO CHA SHERIA RUCO). Pia kwanamna moja au nyingine yalishawai kuongelewa na ZITTO KABWE alivyosema ‘doubt anything’ sasa msomi utadistrut vipi kama hujui kitu na nimsomi mbumbumbu.JIPANGE

“In spite of everything, I still believe that people are really good at heart.”



Hayo ni maneno ya binti mdogo aitwae ANNE FRANK mwenye asili ya kiislaeli ambaye aliteseka katika mikono ya HITLA katika sera za NAZ, alifariki akiwa mdogo miaka 15 lakini aliacha diary ambayo aliojaa maneno ya busara na upendo,ikiwemo hiki kichwa cha habari hapo juu.diry yake imekua chachu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa langi duniani kote. Hii inamaanisha MAWAZO yako yanaweza kuwa yamsingi, sauti yako ikawa ya muhimu,ikawapa hope waliovunjika moyo hata kama wewe bado mdogo.YOU NEED TO SPEAK OUT.

Hivi unajua Shakespeare alimfanya AKON aimbe



Hakuwa kuishi muandishi alienukuliwa zaidi kama William Shakespeare,alizaliwa 1564 ENGLAND ,alipata kuoa akiwa na umri wa miaka kumi na nane tu,na akabahatika kupata watoto wa tatu,SUSANNA, HAMNET na JUDITH.
Ni miongono mwa magreat thinker na alipitisha thought zake kupitia literature, He even invented many words and phrases that are now common, including leapfrog, lonely, and watchdog. Baadhi ya hayo maneno yakatumiwa na wasanii kama AKON ila mwanzo na chanzo ni William.
Alipata kuandika tamthilia kama vile A Midsummer Night’s Dream, Much Ado About Nothing, and As You Like It. Ila zilizo mtoa ni kama vile Hamlet, Romeo and Juliet, Othello, King Lear, and Macbeth.
Kwasasa najua utakua unajua nijinsi gani watu wazamani waliishi sana na wakafanya mambo makubwa sana

The best way to live

Some greater thinker like Socrates wonder why some people behaved well and others behaved badly,Socrates believe that bad behavior resulted from ignorance,kwasababu kama unajua unachofanya ni makosa hauwezi ukachagua kufanya,therefore ni ‘ UJINGA’ ndo unaweza kukufanya uishi uishivyo nawala sio mpango wa mungu.GOD LOVE US UNCONDI

The best way to live

ii

Thursday, June 10, 2010