Sunday, November 7, 2010

hawakujua kama huu wakati utafika





inafika 'pahala' inabidi watawala wakubaliane na hali kwamba raia wema na wananchi wa kawaida wamechoka na hizi mambo za 'tuwalete lete,tuwachanechane tuwatupe' .raia wameamka nakutaka mabadiliko yanayoonekana kwa macho sio ya takwimu,raia wanataka jaribu kubadilisha mfumo na kutoa 'element' za umimi,thanx god wanatumia lugha easy kueleweka bt itafika kipindi watatumia zile ambazo wanatumia sudani...sawa umeshinda kwa kishindo ila mbeleniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

No comments:

Post a Comment