Sunday, November 7, 2010

hawakujua kama huu wakati utafika





inafika 'pahala' inabidi watawala wakubaliane na hali kwamba raia wema na wananchi wa kawaida wamechoka na hizi mambo za 'tuwalete lete,tuwachanechane tuwatupe' .raia wameamka nakutaka mabadiliko yanayoonekana kwa macho sio ya takwimu,raia wanataka jaribu kubadilisha mfumo na kutoa 'element' za umimi,thanx god wanatumia lugha easy kueleweka bt itafika kipindi watatumia zile ambazo wanatumia sudani...sawa umeshinda kwa kishindo ila mbeleniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

hostel zimeota mbawa RUCO

KUTOKANA NA KUDAHILI WANAFUNZI WENGI KULIKO UWEZO WA CHUO ,WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WAMEJIKUTA KATIKA HALI NGUMU SANA KUTOKANA KUWA HOSTELI ZIMECHAKACHULIWA NA "WAHUNI" FLANI NI KUGAIWA KIUNI UNI OVYO OVYO....NA WATU WENGI KUISHIA MTAANI....ILA TUNASIHI CHUO HALI HII ISIJIRUDIE TENA