Monday, October 4, 2010

kelvin kayaga mkali wa mistari namba mbili wa vyuo vikuu anadai atarudi tena


akizunguza kwa njia ya simu na mlisiwa3.blogspot.com mkali huyo wa vyuo vikuu amesema yupo mkoani iringa kufanya maandalizi ya kurecird kwa mpishi amba pale AB RECORDS .itakua track ya tatu.god bless kelv klen

Sunday, October 3, 2010

huyu ndo khadija mkali wa kiswahili toka UDOM ktk POZI za mwezi mtukufu



alizaliwa miaka 22 iliyopita,kwa mchanganyo wa damu za kutanga,akabahatika kupata elimu ya secondary JANGWANI na advance MORO SEC,Mwisho wa siku akabobea katika fani ya KISWAHILI ktk chuo kikuu cha DODOMA,Akawa anapata hisia za kisheria kwa kupenda kuangalia show kama ya JUDGE PENNY ndo sababu ilofanya akakutana na mlisiwa3.blogspot.com.kitu anachopenda ni kuchat na kumake new friend,na hakuna mziki unaomgusa kama indian music,VITU VITATU ANAVYOJIVUNIA KWANZA NI KUZALWA MUISLAM,PILI KUZALIWA BINTI WA KITANGA NA TATU KUISHI KINONDONI KWA WAJANJA......mtafute katika facebook kama unataka friend nae kwa KHADIJA ABUBAKAR